Mama maria heshima
Refrain. Mama Maria Mama heshima twatoa salamu Mama (2x);
Sisi wanao twakukimbiliya, wewe ndiye nkinga zetu utupokeye (2x).
1. Usiku hata mchana jina lako latajwa,
Lastahili kusifi wa duniani kote,
Wewe ulichaguliwa kuwa Mama wa Mungu,
Mama wake Mukombozi, Mama wake Yezu.
2. Ume barikiwa wewe katika wana wake, Na Yezu Mwanao amebarikiwa,
Utuombee kwa Mungu tupate kuokoka
Na mwisho tufi kie kuko uwinguni.
3. Malaika wanaimba jina lako tukufu, wakipiga baragumu pia na kinanda,
Ma Kerubim, wa Serafin wote wanakusifu
Nazo sifa zitadumu daima milele.