Tunakimbilia
1. Tunakimbilia, ulinzi wako, Mzazi mtakatifu wa Mungu,
Usitunyime tukiomba, tukiomba katika shida zetu
2. Tunakimbilia, uruma yako, Mama mtakatifu wa Mungu,
Usitunyime tukiomba, tukiomba katika vita zetu
3. Tunakimbilia, mapendo yako, Mama mtakatifu wa mbingu,
Watazamie, walio kufa, wafi kishe mbele ya Mwana o
Refrain. Utuopowe, siku zote, ila tuingiyapo atarini,
Ewe bikira mtukufu, Bikira mtukufu mwenye baraka (amina)