Toyemba App

Tuimbe wote maria

E.Kaoma

Refrain. Tuimbe wote Maria, tumusifu Mama mwema

Amepandizua mbinguni kwa Mungu baba (bis)

Maria (5x)Mama Mama wa Mungu (2x)

Maria (5x) ave (5x)

1. Jina lako (3x) litawale milele,

   Tunakwita Mama mwema wa huruma na mapendo,

   Sikiliza wana wako, wana kuita ita ita ita ita Maria

2. Malaika wa mbinguni wanasifu jina lako,

    Kupalizwa kwa Maria,

    Shangwe duniani na kule mbinguni