Napiga hodi
1. Napiga hodi kwa Bab'angu na Yeye amenikaribisha
Nasita tanga, tanga tena nisi peperushwe sawa na vumbi
Refrain. Nita jongeya altare ya Bab'angu
Nita ingiya nyumbani mwa bab'angu
Nita jongeya altare ya Bab'angu furaha yangu na heri yangu (2x)
2. Nasikiya sauti nyingi za nizungurusha pande zote
Zanitia na wasiwasi, wana uliza ni nani Mungu
3. E e Mungu wa majeshi univike mavazi za chuma
Unitenge na wa tshekaji wana uliza ninani Mungu