Roho ya mungu ameni angaziya
Refrain. Rohoya Mungu ameniangaziya
Ili nitangaze Enjili yake Yezu Kristu (2x)
1. Sema bwana (2x) Mimi mtumishi
Nasikiya (2x)
2. Kuani Bwana (2x) unayo maneno
Ya uzima (2x)
Refrain. Rohoya Mungu ameniangaziya
Ili nitangaze Enjili yake Yezu Kristu (2x)
1. Sema bwana (2x) Mimi mtumishi
Nasikiya (2x)
2. Kuani Bwana (2x) unayo maneno
Ya uzima (2x)