Toyemba App

Uje roho

L.Thumba

Refrain. Uje Roho Mtakatifu shuka na nguvu yako.

Shuka kwetu Roho ya Bwana tuongozwe nawe (2x).

1. Uje Roho ya Bwana, Roho ya mapendo twakuita,

    Shuka kwetu utujaze na neema yako, utujaze na neema yako.