Toyemba App

Tawala roho

D.Kindele

Refrain. Tawala Roho Mtakatifu, tawala Roho Mtakatifu.

Tawala, tawala hapa duniani.

Tawala Roho Mtakatifu, tawala Roho Mtakatifu.

Tawala, tawala angazia dunia.

Tawala, tawala, tawala, tawala angazia dunia (2x).

1. Shetani anawasumbusha watu hapa dunia,

    Baba Mungu tuma Roho ya moto

    Iwaondoshe gizani (2x).

2. Mwana damu hawezi kutaja jina lake Yesu Kristu,

    Bila nguvu yake Roho Mtakatifu,

     Nguvu ya Roho Mtakatifu (2x).

3. Bwana Yesu akapanda mbingu akatuma Roho, Roho Mtakatifu

    Ili woga yetu yote iwe mbali nasi

    Tupate kutangaza neno lake (2x).