Toyemba App

Bwana amefufuka

L.Thumba

Refrain. Amefufuka aliye kufa Mkombozi wetu Yezu,

Amefufuka Aleluya (3x)

Yezu amefufuka aleluya shangwe kuu la Paska

1. Kama vile andiko ilivyo sema       : Bwana amefufuka

    Kisha siku tatu katika wafu           : Bwana amefufuka

2. Leo dunia nzima yatetemeka        : Bwana amefufuka

    Kwani Mungu amejionyesha katika haki : Bwana amefufuka

3. Tuimbe tufurahi tutolee shangwe : Bwana amefufuka

    Kwani Bwana Yezu kashinda kifo   : Bwana amefufuka