Toyemba App

Kristu amefufuka

Paroisse saint martin (lubumbashi)

1. Kristu amefufuka, viumbe via dunia,

    Twimbeni wote aleluya

2. Maria Magdalena, pamoja na Salome

    Wakampa manukato, manemane

3. Nitabomowa ekalu iyo

    Nakuli jenga siku tatu

Refrain. Aleluya (2x) amefufuka, ale luya amefukua (2x)

Kristu aliye Kondo wa: wa paska

Ametolewa sadaka: ya paska

Tumshangilieni wote: ni paska

Enyi watu wa dunia, shangilieni Bwana, kwa kelele za furaha (2x)

Aleluya paska amefufuka (2x)

Bwana Yezu: paska amefufuka

Mukombozi: paska amefufuka

Wa dunia: paska amefufuka