Wame mondowa bwana
1. Wame mondowa Bwana, wame muweka wapi; Wala atujui,
Wame mondowa Bwana, wame muweka wapi, Atujui fasi, wamemuweka.
Refrain. Wana wake watatu: Waenda kaburini mwake Yezu
Kumtoleya manukato: pamoja nayo manemane
Kafufuka Yezu Kristu Mukombozi wa dunia,
Wanduku muje, mujioneye leo sisi tuashangilia pamoja
Ale, aleluya ; ale, aleluya ;
aleluya kafufuk’ale aleluya kafufuka.
2. Kwanini mwatafuta mtu muzima kati ya wafu, furaheni
Kwani Kristu mwatafuta amefufuka leo
Siku kuu ya paska (2x)