Toyemba App

Sifa sifa

Diocèse de lubumbashi

1. Sifa sifa kwake Mungu, ametuma Mwokozi

    Ame atsha ufalume, utukufu, (juu) mbinguni

2. Tazameni nyota iyo, imeenda Bethlemu

    Wa majusi, wame enda, na zawadi (yao) kwa Yesu

3. Sisi wote tutoleye, myoyo zetu, kwa Yezu

    Twimbe wote, aleluya, kwa furaha, kwa shangwe

Refrain. Emanueli (2x)

Mungu wetu (ekokati yetu)

Kati yetu aleluya aleluya sifa kwake, sifa kwake

Sifa kwake (duniani kote) duniani (na mbinguni juu) na mbinguni

Na mbinguni wana sifu