Shukrani kwa bwana
Refrain. Nakushukuru e Bwana, kwa mema yote e Bwana,
Unayo nitendeya katika maisha yangu
1. Tangu utoto wangu umenipenda sana,
Ukanipa uzima tena ukanilinda
1-5. Shukrani kwako e Bwana Mungu wangu
2. Bwana ni Mwanga wangu, Bwana Mchungaji wangu,
Ata na pata magumu sita hogopakitu
3. Umetuondolea kwa kifo cha Mwokozi,
Akafa msalabani kwa ajili ya watu
4. Aksanti kwako Bwana kwa chakula cha Roho
Ulicho tugawia katika ibadani
5. Twakushuku Bwana twakuabudu Bwana,
Twakushangilia kwa Roho na kwa mwili