Twende kumeza yake bwana
Refrain. Twende kumeza Yake Bwana (2x)
Tukaribiye na furaha, bwan’atuita tumupokeye,
Tupate uzima milele (2x)
Atuita tumpokeye nafuraha, atuita tumpokeye na imani,
Twende na furaha kumeza Yake Bwana
Twende enyi ndugu kumeza Yake Bwana
1. Meza ya Bwana ni tayari kwa walio tayari
2. Na furaha kubwa na imani tukampokeye Bwana
3. Bwana atuita tumpokeye tupate uzima