E yezu wangu
Refrain. E Yezu wangu nitaenda kwa nani ? (ni wewe)
Ni wewe unayo maneno ya uzima wa milele Mungu wangu.
1. Mwili wangu nitawapa, mutakula na mtamaliza,
Njaa yenu nyinyi wote (e Yezu jooni kwangu)
2. Damu yangu nitawapa, mutakunya na mtamaliza,
Kiu chenu nyinyi wote (e Yezu jooni kwangu)
3. Ndugu zenu wamekwenda, wakisema maneno yake
Ni magumu na nyinyi dje (e Yezu jooni kwangu)