Toyemba App

Tumealikwa

Diocèse de lubumbashi

Refrain. Tumealikwa mezani mbele Yake e,

Kumpokeya mwili na damu Yake,

Mwili wake ni mkate wa uzima,

Damu Yake ni kikombe cha wokovu, wamilele.

1. Nasi ndugu tuleni wote mwili, tutapata uzima wa milele,

1-4. Mwili Wake ni mkate wa uzima,

       Damu Yake ni kikombe cha wokovu, wamilele.

2. Nasi ndugu tunyeni wote damu, tutapata uzima wa milele,

3. Anaye kula mwili wake Yezu, atapata uzima wa milele

4. Anaye kunua damu Yake Yezu, atapata uzima wa milele