Tumealikwa na bwana
Tumealikwa na Bwana, twende tule mwili wake
Meza ya Bwana tandikwa, twende tunue damu yake
Yule anae taka kuukula mwili wake:
Meza ya bwana imetandikwa, kwa nguo safi tuleni (2x)
Yule anae taka kukunua damu yake:
Meza ya bwana imetandikwa, kwa nguo safi tunueni (2x)
Ooo (2x) tumealikwa sasa
Tumealikwa na Bwana : tumealikwa sasa
Kwa kula mwili Wake : tumealikwa sasa
Kwa kunua damu Yake : tumealikwa sasa
O baba yangu : tumealikwa sasa
O mama yangu : tumealikwa sasa
O kaka yangu : tumealikwa sasa
O dada yangu : tumealikwa sasa
O baba na mama : tumealikwa sasa
O kaka na dada : tumealikwa sasa