Jongeyeni wote ku meza ya mwenyezi
Intro: Meza ya Bwana ni tayari tumealikwa wote,
Tule mwili tunue damu Yake tupate uzima
Refrain. Jongeyeni (kwake) jongeyeni, (bwana) jongeyeni
Ku meza ya Mwenyezi (wote) (2x)
1. Tuleni wote mwili wa Yezu,
Tupate uzima wa milele (2x)
2. Tunueni wote damu ya Yezu:
Tupate uzima wa milele (2x)
3. Mwili wa Yezu chakula bora :
Jooni wote tumpokee (2x)
4. Damu ya Yezu chakunua safi :
Jooni wote tumpokee (2x)