Toyemba App

Mwana kondo wa mungu baba

B.Mukombonzi

Refrain. Mwana Kondo oo wa Mungu,

Mwana Kondo oo wa Mungu,

Unaye ondowa zambi za dunia (x2)

1+2 Utuhurumie, utuhurumie

3. (Mwana Kondo o) Utupe amani, amani (3x)