Toyemba App

Mwana kondo

Diocèse de lubumbashi

Refrain. Mwana Kondoo, Mwana Kondoo (2x)

Mwana Kondoo, Mwana Kondoo, Mwana Kondoo, Mwana wa baba

Unaye ondowa zambi za dunia :

1+2. Utuhurumie (3x) huruma, huruma Bwana huruma (2x)

3. Tupe amani (3x) amani, amani, Bwana amani (2x)