Toyemba App

Mwana kondo wa mungu

D.Baere

Refrain. Mwana Kondoo wa Mungu ondowaye zambi za dunia (2x)

1+2. Utuhurumie (3x) Bwana utuhurumie (2x)

3. Utupe amani (3x) Bwana tupe amani(2x)