Toyemba App

Mtakatifu bwana

W.Kasanda

1. Mtakati fu (2x) Bwana Mungu wa ulimwengu

    Mbingu na dunia zimejaa na sifa yako e Bwana, Ozana juu mbinguni

Refrain : Twimbe ozana, ozana juu mbinguni (2x)

Twimbe ozana aa (2x)

2. Barikiwa yule anae kuja, anae kuja kwa jina la Bwana

    Ozana juu mbinguni (2x)