Tunakutolea baba
1. Tunakutolea Baba sadaka yetu,
Tunaitolea na furaha na mapendo,
Baba ukubali sadaka ya wana wako (sadaka)
Sadaka ya wana wako (2x)
Refrain. Alto: Baba pokea (bis)
Sop: Iyo sadaka a (bis)
R1/T+B Sadaka yetu Baba pokea,
Furaha zetu Baba pokea
Na feza zetu Baba pokea,
Vyote ni vyako Baba pokea.
2. Mali yetu yote kweli ni yako baba, twakuomba uyipokee na furaha,
Vile ulipokea sadaka ya Abeli (sadaka)
Sadaka ya Abeli (2x)
Refrain. Alto: Baba pokea (bis)
Sop: Iyo sadaka a (bis)
R2/T+B Magumu yetu Baba pokea, na kazi zetu Baba pokea
Mazao zetu Baba pokea, ya shamba zetu baba pokea