Mbele ya malaika nitakwibiya
Refrain. Mbele ya malaïka nita kuimbia ee Bwana (2x).
1. Nita kutukuza e Bwana kwa moyo wangu wote e Bwana :
Kwani umesikiya maneno ya kinwa changu (2x)
2. Nita kutukuza e Bwana mbele ya malaïka nita kuimbia :
Nita liangukia Hekalu lako mtakatifu (2x)