Ndiwe kohani
Refrain. Ndiwe kohani hata milele, ndiwe Kohani (2x).
Kadiri ya ukohani wa Melkisedeki (2x).
1. Bwana amemwambia, Bwana wangu
Ukae kuume kwangu mpaka ni weke aduwi zako
Kama kibawo chakuwekeya miguu yako.
2. Ibrahimu aliporudi ka! ka vita,
Melkisedeki mfalme wa salemu akaleta mtake nadivai
Naye alikuwa kohani wa Mungu aliye juu.
3. Akambariki Ibrahimu,
Akisema abarikiwe na Mungu aliye juu, asifi we Mungu aliye juu,
Aliye waweka maadui mikononi mwako.