Umsifu bwana
Refrain. Umsifu Bwana umsifu Bwana umsifu e roho yangu umsifu Bwana
Umsifu Bwana umsifu Bwana e roho yangu
1. Bwana anashika waminifu hata milele,
Anawarudishia, warudishia haki, haki walio zulumiwa
2. Bwana anawapa wenyi njaa mkate,
Bwana anawapa wenyi njaa mkate ana wafungua wafungwa